Alipokaa chini na kuniambia hiyo story,,
Huku akitokwa mpaka
na machozi,,
For real
bro,,
Nilikuwa really
sorry,,
Nilitamani kumpea
advice ya wale wasee kama akina Oduori,,
But hii situation
ilikuwa tu ngori,,
Hivi ndio
alianza,,"Nakumbuka hizo enzi,,,
Ni kama ilikuwa
jana,, Ju,,
Ile day niliambiwa kwangu utakuwa zaidi ya rafiki" yaani mpenzi,,
Ilikuwa tu SAA
sita ya mchana,,
Huyo boy alipenda
denzi,,Na aliji-introduce kama Katana,
Aki sii alikuwa
sawa,,sii height,, colour,, na mpaka nywele alikuwa akichana,,
Sikuwahi muona akitumia "weed"
So I don't know kama
na ji-contradict,,
Nikisema hakuwa
"akichana",
Nilimpenda sana
mpaka nikaanza ku-dream eti Mimi na yeye
tukiwa ndani ya KCY..Mercedes benzi,,
Pete tukienda
kuvishana,, pale kanisani
Lakini nilikuwa very wrong,
Huyu boy aliniona
kama mshenzi,,
Nilipomwambia
nampenda sana,,
Alikuja home akiwa
mlevi,, na kuanza kusema imepita miezi,,
Na eti ilikuwa bora
tukiachana,,
Yaani alinidanganya eti anafanya kazi kwa ofisi,,,kumbe ni ya ujenzi,,
Na eti pia...nilijua,,
hakuwa M-kenya,,
Eti ye ni M-Ghana,,
Kumbe all the empty
words.. eti mi ni mrembo,,
Imagine alikuwa
anani-compare na Akoko,,
Yule mama ya Owuor
Kembo,,
Mpaka inamfanya
ajiskie kwa kichaka kuwa ye ndio tembo,,,
Ilikuwa tu kama ile
mbiu ya mgambo,,Ambayo ikilia
Sii unajua tu kuna
jambo,,
Sikumbuki tu
mwaka,mwezi wiki,,,,nakumbuka pia date,,
Vile aliniambia eti
yeye Hu-deal na wasee campus,,
Sio wasee wa
TVET,,,
Alianza kuni-play na
yule dem alikuwa akifanya kazi Cadet,,
Kumbe jina yake
ilikuwa Chebet,,
Na kuniambia eti
alikuwa na doo juu alikuwa pia ana-bet,,
Na pia alikuwa
akitoka huko lower Kabet,,
Sijui mbona aliacha
hiyo " e",,
Ndio iwe lower Kabete,,
Coz ilikuwa ni kama
mse kuongeza "I",,
Kwa ile poster ya
house to let,,
Although its
painful,,
Madem
wenzangu..lazima niwaweke up to date,,,
Coz watu wengine
watawapima,,,
Na kuwa-compare ndio
wajue who is greater,,
Coz these things are
real,,
Na hakuna mse
anaweza tell his fate,,
I wish ningejua
nilikuwa nacheza na moto,,
Huyo boy aliharibu
zangu ndoto,,
Alikimbia na
kuniachia mpaka mtoto,,
Niliogopa mpaka
nikaanza kutokwa na chembamba kijoto,,
Lakini,,
God alinishika
mkono,,
Ile time watu
walini-judge na kunichukia kama konokono,,,,
Nilijua ni yeye tu
atanikubali,,
Na kwake Sai
naelekaza yangu mkono,,
Niliwasamehe
wote,,akina Katana na pia Rono,,
Hii dunia ni all
about kuachilia yaliyopita yaani the past,,,
Na ku-assume that
all ilikuwa ni kama part of the dust,,
Na kuweka all your
believe in God,,yaani trust,,
Kwa Sababu mapenzi
yake si optional but ni a must,,
Sai nimeamua
ku-focus na kuwa na a sharp eye queue,,
Kama Kenya Airways,,
yaani K.Q,,
Nimeamua kupanga
line ya success,,
Even though iko na a long queue,,
Na I wish nyinyi
wote mngeacha all the unnecessary yaani
the excess,,,
Na kufuata this road
to success,,
2019
Iko Kali bro lenox keep it rocking
ReplyDelete