pub-4564465823266615 Writers Guild Chuka University: SPOKEN WORD
Showing posts with label SPOKEN WORD. Show all posts
Showing posts with label SPOKEN WORD. Show all posts

Thursday, 25 April 2019

THIS KINDA LOVE?!...MPAKA LINI??!

                                                                 









Nikiandika hii story sio eti niko kwa comfort zone,,
Nashangaa vile life iko mpaka nimekaa kwa kibanda,,
Nimekosa piece imagine hata piece of mind.                          
Nimekosa hata usingizi kwa kila place nalala,hata pia kwa kitanda,,
Kama ni kusoma,highschool nilisoma ndio ngazi ya SUCCESS niwe nikipanda,,
Nikaacha everything ndio watu wasipate reason ya ku-ni-judge na hata pia wengine kuniita danda,,
Nakumbuka Nikiambiwa eti life in Campus iko smooth mpaka unaweza dhani eti ni mbao imepigwa randa,,
Eti huko hakuna rules kama zile za NTSA ndio watu wafunge mikanda,,
KCSE nikapita na nikaitwa University Kenya na hata sio Uganda,,
Zile vitu zinafanyika Campus sai zinafanya nishike tama,,mpaka I still wonder,,
Kama ningekuwa mwanamziki,,ningeimba,nu-record,,na hata pia nitoe kanda,,



 Hii message naandikia comrades wote,,uwe kijana au msichana,,
 Coz hizi love triangles tunaziskia day in day out,,usiku na mchana,,
Am really sad na nasaka  watu watasimama na kusema no hapana,,
Ju our lives ni important na  pia hakuna mtu  hajui ni ya dhamana,,
Tunafai kuilinda na all the unnecessary burdens tuziset aside yaani kuziacha,
Nakujua that we can never rely on our on strength,,ila tu ile ya Rabana,,
All the news in TV ni vile love in love in Campus inapelekana,,



All these inafaa kuisha,,na sii Unajua sio jana ama kesho but ni hivi sasa,,
Mauaji yamekuwa mengi na breaking news za kila gazeti, unaweza dhani ni siasa,,
Very serious  hadi sasa imekuwa mikasa,,
Sijui niaje nitawafunza kwa sababu mko wengi na hamwezi toshea kwa darasa,,
From Kisumu,,Nairobi na hata pia wale wa Mombasa,,
Sijui nani atawa-advice because nimejaribu watu wote ikiwemo hata akina Barasa,,
Ama sijui ni spiritual talk ndio inaweza wabadilisha ndio sote  tuende kwa kanisa,,
Machozi yananilenga nikiandika hii story mpaka sijui vile nitafungua ingine ukurasa,,
Kama ningekuwa na uwezo ninge-advertise hii kitu hadi VIU-SASA,,



Fellow comrades mi nataka tuongelee hii kitu inaitwa mapenzi,,
Lakini hii ya campus sijui niite mapenzi kishenzi,,
Kwa sababu si kama ile ya kitambo na hata zilizopita  enzi,,
Wakati love ilikuwa love hata kwa wale walikuwa wakifanya ujenzi,,
Tumeskia vifo vya mapenzi  si kitambo juu Ilikuwa tu hizi siku za majuzi,,
Hii si uongo ama umbea kama in the case of dozidozi,,
Tuliowapenda tunawabebea kisu,panga,shoka unaweza dhani hao ni wezi,,
Tunawapoteza students wengi na sasa tumechoka na maombolezi,,
Lazima tusimame pamoja na kuacha hizi vitu kwa sababu hakuna kitu hatuwezi,,



Sina nguvu ya kufikisha mwisho hii story,,
Because ile situation  tuko si mchezo but ni ngori,,
Tumeacha kuwa binadamu na sasa ku-behave kama wanyama pori,,
Ni lini love itakuja kuwa easy kama ku-thresh out rice kwa pishori?

Ile kibanda nimekaa bado najiuliza tu maswali,,
Ni kina nani wata-embrace hii message na pia hata wataikubali,,
Ju ile place tumetoka si karibu  na bado tunataka  kuenda mbali,,
Hizi mapenzi ni personal lakini ikivunjika sijui mbona tuna-involve serikali,,
Lakini wakati bado inaendelea vizuri tunawaambia hawana right ya kuingilia yaani hawana kibali,,



Nikimalizia nasema  mapenzi ni kitu nzuri sikatai,,
Lakini zile vifo zinatokea out of the love in  campus hazifai kutokea kamwe,, 
Tunaweza overcome all these things if and only if we try,,
Tusimame na tu-protect the name of our campuses na sio eti tunajidai,,
Hii story nimeandika hapa ni reality and not just a lie,,

@LennoxOlima
    2019

Friday, 22 March 2019

HII STORY NI NGORI!




Alipokaa chini na kuniambia hiyo story,,
 Huku akitokwa mpaka na machozi,,
           For real bro,,
  Nilikuwa really sorry,,
  Nilitamani kumpea advice ya wale wasee kama akina Oduori,,
  But hii situation ilikuwa tu ngori,,

 
  Hivi ndio alianza,,"Nakumbuka hizo enzi,,,
  Ni kama ilikuwa jana,, Ju,,
  Ile day niliambiwa  kwangu utakuwa zaidi  ya rafiki" yaani mpenzi,,
 
 
  Ilikuwa tu SAA sita  ya mchana,,
  Huyo boy alipenda denzi,,Na aliji-introduce kama Katana,
  Aki sii alikuwa sawa,,sii height,, colour,, na mpaka nywele alikuwa akichana,,
 

  Sikuwahi muona akitumia "weed"
  So I don't know kama na ji-contradict,,
  Nikisema hakuwa "akichana",
  Nilimpenda sana mpaka nikaanza ku-dream eti Mimi na yeye  tukiwa ndani ya KCY..Mercedes       benzi,,
  Pete tukienda kuvishana,, pale kanisani  

 

  Lakini nilikuwa very wrong,
  Huyu boy aliniona kama mshenzi,,
  Nilipomwambia nampenda sana,,
  Alikuja home akiwa mlevi,, na kuanza kusema imepita miezi,,
  Na eti ilikuwa bora tukiachana,,

 

  Yaani alinidanganya eti anafanya kazi kwa ofisi,,,kumbe ni ya ujenzi,,
  Na eti pia...nilijua,,
  hakuwa M-kenya,,
  Eti ye ni M-Ghana,,



   Kumbe all the empty words.. eti mi ni mrembo,,
  Imagine alikuwa anani-compare na Akoko,,
  Yule mama ya Owuor Kembo,,
  Mpaka inamfanya ajiskie kwa kichaka kuwa ye ndio tembo,,,
  Ilikuwa tu kama ile mbiu ya mgambo,,Ambayo ikilia
  Sii unajua tu kuna jambo,,


 

  Sikumbuki tu mwaka,mwezi wiki,,,,nakumbuka pia date,,
  Vile aliniambia eti yeye Hu-deal na wasee campus,,
  Sio  wasee wa  TVET,,,
  Alianza kuni-play na yule dem alikuwa akifanya kazi Cadet,,
  Kumbe jina yake ilikuwa Chebet,,
  Na kuniambia eti alikuwa na doo juu alikuwa pia ana-bet,,
  Na pia alikuwa akitoka huko lower Kabet,,

 

  Sijui mbona aliacha hiyo " e",,
  Ndio iwe  lower Kabete,,
  Coz ilikuwa ni kama mse kuongeza "I",,
  Kwa ile poster ya house to let,,
       
 

  Although its painful,,
  Madem wenzangu..lazima niwaweke up to date,,,
  Coz watu wengine watawapima,,,
  Na kuwa-compare ndio wajue who is greater,,
  Coz these things are real,,
  Na hakuna mse anaweza tell his fate,,
  I wish ningejua nilikuwa nacheza na moto,,
  Huyo boy aliharibu zangu ndoto,,
  Alikimbia na kuniachia mpaka mtoto,,
  Niliogopa mpaka nikaanza kutokwa na chembamba kijoto,,


   Lakini,,
  God alinishika mkono,,
  Ile time watu walini-judge na kunichukia kama konokono,,,,
  Nilijua ni yeye tu atanikubali,,
  Na kwake Sai naelekaza yangu mkono,,
  Niliwasamehe wote,,akina Katana na pia Rono,,

 

  Hii dunia ni all about kuachilia yaliyopita yaani the past,,,
  Na ku-assume that all ilikuwa ni kama part of the dust,,
  Na kuweka all your believe in God,,yaani trust,,
  Kwa Sababu mapenzi yake si optional but ni a must,,

 

  Sai nimeamua ku-focus na kuwa na a sharp eye queue,,
  Kama Kenya Airways,, yaani K.Q,,
  Nimeamua kupanga line ya success,,
  Even though iko  na a long queue,,
  Na I wish nyinyi wote  mngeacha all the unnecessary yaani the excess,,,
  Na kufuata this road to success,,

      By Lennox Omondi
      2019

Wednesday, 25 October 2017

THE UNTOLD MENTAL TALE

Please enjoy my few sober minutes,
Na si ati ju nakuanga ever high,
Ni vile life ilikam nkiwa low ikakam high,
Leo nataka kuwapatia story,
Story yes bado haijakua termed kama history,
But story yangu,
Me mwenye siezi simama nimwite chizi mwenzangu.

Nakumbuka io siku vile life iliturn,
From a hundred i was left with none,
The city askaris took the better part of me,
And robbed what was left of me.

Nlikosa kufikisha pesa ya bond,
Na hapo ndio mm na wao tukagrow bond,
I wish ingekua something priceless ka eurobond,
But this is a bond so bad than that of being conned.

We toured the town at night, 
Siezi jua when tulienda left ama right,
Wenye tulibaki kwa mariamu tulidungwa left, 
Na place unknown naskia tuliget saved.

Nliamka nkaanza kucheka sana,
Nkismile ju ya vitu naona zikikuja,
Vitu nlishangaa sana zimetoka wapi,
Vitu spacious, nlidhani ni aliens.

Nlienda hosi nkaambiwa i was mad,
Na trust me i became mad,
Nkajamia hao mapolisi,
Ju wao tu ndio wanajua chenye walinidunga,
Sasa mitaani me hustroll,
Nakaribia mtu anakimbia karibu aroll,
Im now permanently this way,
Kuna time nakuanga sober uchizi kidogo inasway,
But this life is hard.

I wish i can take revenge,
But that nothing will change, 
Even in this state he still chases me,
And trust me i dont know what he wants with me,
I wish we can talk when sober, 
I ask him for an antidote to make this over,
Coz i miss home,
Home where i left them,
Them whom i rooted for coz they were my stem,
Them that i lived for, 
Them that God blessed us to be four.

I wish i can remember their names,
But if i did no one will believe,
As ill say it smiling, 
Not coz im happy, 
But coz im ailing, 
Im in pain,
Im in misery,
So next time u see me in town, 
Please dont knock me down, 
Hear my voice i might be sober,
Or just pass me by,
Atleast blushily ill tell uu bye. 

By Kelvin Gacheha Maina
(MARQUEEZ 2017)