pub-4564465823266615 THIS KINDA LOVE?!...MPAKA LINI??! ~ Writers Guild Chuka University

Thursday, 25 April 2019

THIS KINDA LOVE?!...MPAKA LINI??!

                                                                 









Nikiandika hii story sio eti niko kwa comfort zone,,
Nashangaa vile life iko mpaka nimekaa kwa kibanda,,
Nimekosa piece imagine hata piece of mind.                          
Nimekosa hata usingizi kwa kila place nalala,hata pia kwa kitanda,,
Kama ni kusoma,highschool nilisoma ndio ngazi ya SUCCESS niwe nikipanda,,
Nikaacha everything ndio watu wasipate reason ya ku-ni-judge na hata pia wengine kuniita danda,,
Nakumbuka Nikiambiwa eti life in Campus iko smooth mpaka unaweza dhani eti ni mbao imepigwa randa,,
Eti huko hakuna rules kama zile za NTSA ndio watu wafunge mikanda,,
KCSE nikapita na nikaitwa University Kenya na hata sio Uganda,,
Zile vitu zinafanyika Campus sai zinafanya nishike tama,,mpaka I still wonder,,
Kama ningekuwa mwanamziki,,ningeimba,nu-record,,na hata pia nitoe kanda,,



 Hii message naandikia comrades wote,,uwe kijana au msichana,,
 Coz hizi love triangles tunaziskia day in day out,,usiku na mchana,,
Am really sad na nasaka  watu watasimama na kusema no hapana,,
Ju our lives ni important na  pia hakuna mtu  hajui ni ya dhamana,,
Tunafai kuilinda na all the unnecessary burdens tuziset aside yaani kuziacha,
Nakujua that we can never rely on our on strength,,ila tu ile ya Rabana,,
All the news in TV ni vile love in love in Campus inapelekana,,



All these inafaa kuisha,,na sii Unajua sio jana ama kesho but ni hivi sasa,,
Mauaji yamekuwa mengi na breaking news za kila gazeti, unaweza dhani ni siasa,,
Very serious  hadi sasa imekuwa mikasa,,
Sijui niaje nitawafunza kwa sababu mko wengi na hamwezi toshea kwa darasa,,
From Kisumu,,Nairobi na hata pia wale wa Mombasa,,
Sijui nani atawa-advice because nimejaribu watu wote ikiwemo hata akina Barasa,,
Ama sijui ni spiritual talk ndio inaweza wabadilisha ndio sote  tuende kwa kanisa,,
Machozi yananilenga nikiandika hii story mpaka sijui vile nitafungua ingine ukurasa,,
Kama ningekuwa na uwezo ninge-advertise hii kitu hadi VIU-SASA,,



Fellow comrades mi nataka tuongelee hii kitu inaitwa mapenzi,,
Lakini hii ya campus sijui niite mapenzi kishenzi,,
Kwa sababu si kama ile ya kitambo na hata zilizopita  enzi,,
Wakati love ilikuwa love hata kwa wale walikuwa wakifanya ujenzi,,
Tumeskia vifo vya mapenzi  si kitambo juu Ilikuwa tu hizi siku za majuzi,,
Hii si uongo ama umbea kama in the case of dozidozi,,
Tuliowapenda tunawabebea kisu,panga,shoka unaweza dhani hao ni wezi,,
Tunawapoteza students wengi na sasa tumechoka na maombolezi,,
Lazima tusimame pamoja na kuacha hizi vitu kwa sababu hakuna kitu hatuwezi,,



Sina nguvu ya kufikisha mwisho hii story,,
Because ile situation  tuko si mchezo but ni ngori,,
Tumeacha kuwa binadamu na sasa ku-behave kama wanyama pori,,
Ni lini love itakuja kuwa easy kama ku-thresh out rice kwa pishori?

Ile kibanda nimekaa bado najiuliza tu maswali,,
Ni kina nani wata-embrace hii message na pia hata wataikubali,,
Ju ile place tumetoka si karibu  na bado tunataka  kuenda mbali,,
Hizi mapenzi ni personal lakini ikivunjika sijui mbona tuna-involve serikali,,
Lakini wakati bado inaendelea vizuri tunawaambia hawana right ya kuingilia yaani hawana kibali,,



Nikimalizia nasema  mapenzi ni kitu nzuri sikatai,,
Lakini zile vifo zinatokea out of the love in  campus hazifai kutokea kamwe,, 
Tunaweza overcome all these things if and only if we try,,
Tusimame na tu-protect the name of our campuses na sio eti tunajidai,,
Hii story nimeandika hapa ni reality and not just a lie,,

@LennoxOlima
    2019

0 comments:

Post a Comment

Thanks for your comment on our blog!